Dereva Wa Mauzo (x 4)

SIFA ZA MWOMBAJI KWA JUMLA
• Awe na cheti cha taaluma husika mfano. Elimu ya mifugo, ukarani na n.k
• Cheti cha kidato cha nne, sita
• Ujuzi wa kompyuta
• Uzoefu wa kazi husika wa miaka miwili au zaidi.
• Leseni ya udereva.
• Mchapakazi, mwadilifu na mwenye kuzingatia muda.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi ya tumwe kwa

Meneja mwajiri
Interchick Co Limited
P.o.box 5774
DAR ES SALAAM
Dereva Wa Mauzo (x 4) Dereva Wa Mauzo (x 4) Reviewed by Unknown on 10:05:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.