Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MUHEZA
20Likes
2,637Views
Feb 272025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.

Ikulu Tanzania

321K subscribers