Historia Fupi ya Orchesre Safari Sound
17 years ago | 1867 reads
Kundi liliongozwa na mpiga mpini Ndala Kasheba. Machachari huyu alihamia Tanzania kutokea Zaire mwaka 1969 na kujiunga na hili kundi 1979.
Bendi hii ilianza zambaratika wakati Kasheba alipojitoa.