MJENGWA
Watu watano wamejeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na kifusi katika eneo la barabara ya nyerere jijini Mwanza .
10 years ago | 93 reads
MJENGWA
Mwanamke mmoja anashiliwa na jeshi la polisi kwa kumkata kwa jembe jichoni mototo wa kaka yake , Songea .
10 years ago | 116 reads
MJENGWA
Serikali yasema kuwa matukio 56 ya watu wenye ulemavu wa ngozi yameripotiwa na matukio 41 yakisababisha vifo vya watu 43 .
10 years ago | 128 reads