MICHUZI
KINANA AWAHUTUBIA WANANCHI WA URAMBO , ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WANYAMWEZI .
11 years ago | 40 reads
MICHUZI
OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China ( Chinese Peoples # 8217 Association for Peace and Disarmament ) wenye thamani ya dola laki moja za kimarekani .
11 years ago | 41 reads