Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
MZIMU WA RS BERKANE BADO MTIHANI KWA FADLU
3Likes
478Views
May 22025
Miaka mitatu iliyopita, Fadlu Davids alipitia moja ya siku zenye maumivu kwenye taaluma yake ya ukocha. Mei 20, 2022, akiwa msaidizi wa Mandla Ncikazi katika kikosi cha Orlando Pirates, aliishuhudia ndoto ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika ikiyeyuka. Ni baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti 5-4 dhidi ya RS Berkane kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa kimataifa wa Godswill Akpabio, Nigeria, baada ya sare ya bao 1-1 ndani ya dakika 120. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Mwananchi Digital

1.16M subscribers