Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
WATU WASIOJULIKANA WACHOMA MOTO OFISI YA MTENDAJI MSEWE, UBUNGO
37Likes
3,973Views
Apr 262025
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, ameagiza Jeshi la Polisi kuwatafuta na kuwakamata waliovamia na kuchoma moto ofisi ya Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe usiku wa kuamkia Aprili 26, 2025. Moto huo umeteketeza nyaraka na samani zote za ofisi. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ubungo, Elizabeth Erick, amesema kabla ya kuchoma moto, wahalifu waliiba meza na viti vyenye thamani ya Sh450,000. Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya imetembelea eneo la tukio na kuahidi hatua kali. Meya wa Ubungo, Jaffar Nyaigesha amewataka wananchi kushirikiana na vyombo vya usalama kuhakikisha ulinzi wa ofisi za Serikali. Kaimu Mkurugenzi, Kissa Mbilla ameahidi kurejesha huduma za kijamii ndani ya siku saba.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers