Sign in to confirm you’re not a bot
This helps protect our community. Learn more
MAKABILA ATOA TAMKO ISHU YA ZAIYLISSA na HAJI MANARA KUBWAGANA
7Likes
2,698Views
Apr 102025
Mwanamuziki wa Singeli, Dullah Makabila ameiambia Mwananchi kuwa ameumizwa na taarifa zinazodai mwigizaji Zaiylissa ameachana na mumewe Haji Manara. Dullah ambaye aliwahi kufunga ndoa na Zaiylissa mwaka 2023, amesema angekuwa hajaingia kwenye mahusiano angerudiana na mwigizaji huyo wa Jua Kali. Video na Khatibu Mgeja.

Mwananchi Digital

1.16M subscribers