Muono wa jicho la samaki katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013.
Viongoi mbali mbali wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) wakiwakumbuka waliotangulia mbele ya haki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013.
Marais Wastaafu wakiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013.PICHA NA IKULU.
Mzee mzima Rawlings.
ReplyDeleteNimefurahi sana deni letu ya US $ 237 milioni zimefutiwa na Brazil katika sherehe hizo za miaka 50 ya OAU. Nataka kumpongeza Rais wetu kwa juhudi zake za kuendeleza taifa letu.
ReplyDeleteNdugu Mgimwa pia nadhani atafurahi sana..
Ali...